Judah B.M. Kiwovele aliandika doctoral thesis hii mwaka wa 1982. Alijaribu kuunganisha mapokeo ya kiutamanduni ya kibena na mafundisho ya Martin Luther ili kuonyesha njia ya „inculturation“ ya Imani ya Kikristo katika mazingira na hali halisi ya Tanzania Kusini. Andiko hili linakuwa na maelezo mazuri ya mila na desturi ya kibena pamoja na ya hali ya wakati wa Uhuru wa Tanzania (Ujamaa). Kwa hiyo andiko hili ni sauti nzuri na kumbukumbu muhimu ya njia ya kuelekea na kutengeneza uhuru nchini. Kwa hiyo andiko lake limetafsiriwa sasa katika lugha ya Kiswahili.
Malezi na Elimu ya Kiinjili katika Nchi inayoendelea Tanzania
Mchango kwa Mazungumzo ya Tamaduni mbalimbali za Makanisa ya Kiinjili
Autor*in
Kiwovele, Judah Bernard Matata
ISBN: 978–3‑87214–907‑7
Auflage: 1
Erscheinungsdatum: 27.05.2011
Seiten: ca 275
Format (in cm): 21,0 x 14,8 cm
Gewicht (in g): 350
Produktform: Softcover
Produktsprache: Swahili
Bewertungen
Es gibt noch keine Bewertungen.